Baba yetu uliye mbinguni,
Jina lako litukuzwe,
Ufalme wako uje,
Mapenzi yako yatimizwe,
hapa duniani kama huko mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku;
na utusamehe deni zetu, kama sisi
tuwasamehevyo wadeni wetu;
tena usitutie majaribuni, lakini
utuokoe na yule mwovu.
No comments:
Post a Comment